MIGUGO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,137
- 3,952
Njia pekee ya kujinasua ni mpaka pale tutakapoweza kufanya tafiti zetu na kutengeneza chanjo ba madawa yetu wenyewe. Vinginevyo haya ni makelele tu. Chanjo zitakuja tutachanjwa na madawa yatakuja tutabugia tu....Tunapinga chanjo ya corona ila ARVs tuna zibugia usiku na mchana, utafiti walifanyia wapi? Wanasema viruses wa Ukimwi na corona wamezalishwa na mabeberu, mbona magonjwa ya mabusha, matende, ukoma, malaria,n.k. ni magonjwa ya Kiafrika, tafiti na chanjo zimefanyika hapa hapa(Dr.Mwele) na tumepona, kwanini hatukukataa?
Tibaijuka ametushauri turudi kwenye miarobaini na mironge wakati tunawasubiri mabeberu watuletee chanjo, NIMR kimyaa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Haka kabinti hata sio kaongeaji sijui utata unamjia muda gani maskini ya Mungu!!!#FreeNumbisa
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Njia pekee ya kujinasua ni mpaka pale tutakapoweza kufanya tafiti zetu na kutengeneza chanjo ba madawa yetu wenyewe. Vinginevyo haya ni makelele tu. Chanjo zitakuja tutachanjwa na madawa yatakuja tutabugia tu....
Ila kwa jinsi Esta alivyo ngangari anaweza akawa freed leo hii hii akaanzisha ligi na akina mtanashati na timu domo leo hii hii akalimwa tena ban nyingine leo hii hii [emoji16][emoji16][emoji16]#FreeNumbisa
Huku hatujambo ndugu yangu. Huko kwako vipi? Nawaombea sana huyu mdudu Korona asifike huko akapukutisha wazee wa Kisukuma aisee. Huku wahenga wanapukutika balaa. Siyo poa kabisa bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Sana bro,
Salama huko bro? Hope hamjambo na mnaendelea vizuri,tumshukuru Muumba kwa kutufanya tuwe hai hadi dakika hii bro.
Kuna wimbo mmoja niliuweka humu, Pyaar alijitolea kukutafsiria, labda kama iliingiliana na darasa la Yego.Mbarikiwa Mwakipesile ndiye dereva wangu kokote niendako. Mnyakyusa yule anajua sana. Tena kuna nyimbo mbili za Kinyakyusa nazipenda balaa japo sijui kinachoimbwa...[emoji1545][emoji1545]