Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Niliona mahali jack ryan, inarudi November..thanks....acha niitafute muda huu.
niandalie list ya series zenye maudhui ya kijasusi, criminal, vita dhidi ya wamanga koko a.k.a waarabu.
jack ryan season 3 inarudi lini?
nimeota huyu jamaa atajiingiza kwenye ulimwengu wa siasa kama alivyoshauriwa na mzee mwishoni mwa season 2
Vipi bro? Mguno wa kheri huu kweli [emoji16][emoji16][emoji16]Dah..
Ka kiuno sasa... Kembambaaaa