Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ce86930f-fe32-4c6b-b432-6eb5e35c1361.jpg
 
Haki ya nani mimi ningekuwa beberu ningesitisha chanjo na madawa yote ndo tuone sasa itakuwaje.
Tunapinga chanjo ya corona ila ARVs tuna zibugia usiku na mchana, utafiti walifanyia wapi? Wanasema viruses wa Ukimwi na corona wamezalishwa na mabeberu, mbona magonjwa ya mabusha, matende, ukoma, malaria,n.k. ni magonjwa ya Kiafrika, tafiti na chanjo zimefanyika hapa hapa(Dr.Mwele) na tumepona, kwanini hatukukataa?
Tibaijuka ametushauri turudi kwenye miarobaini na mironge wakati tunawasubiri mabeberu watuletee chanjo, NIMR kimyaa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha jana, nikajisemea tu "huyu mzee hawezi kukosa nyimbo za Mwakipesile humo"
Kwa hakika driving ukitaka iwe na raha basi, zitawale nyimbo za dini, barabara inakuwa imenyooka kiupako...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbarikiwa Mwakipesile ndiye dereva wangu kokote niendako. Mnyakyusa yule anajua sana. Tena kuna nyimbo mbili za Kinyakyusa nazipenda balaa japo sijui kinachoimbwa...[emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom