Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wamarekani wajiandae kisaikolojia.
Marekani na Dunia kwa jumla hasa bara la Afrika wajiandae kisaikolojia kushudia vifo vya watu wengi kwa wakati mmoja kutokana na ugonjwa wa Corona. Hayo yamesemwa na rais wa Marekani Donald Trump.
Trump ametoa angalizo hilo baada taifa lake kupoteza watu 1344 ndani ya masaa 24.
Hiyo ni idadi kubwa sana kuwahi kutokea kwa masaa 24 tangu ugonjwa huo ulipolipuka Duniani View attachment 1409406
Hili jamaa bana...

Wakati Wachina wanahangaika likawa linasema eti everything is under control. Taifa kubwa lenye kila kitu lakini kiongozi mzembe. Leo hii mpaka mask tu ni kuomba omba. Aibuuu !!!
 
Ni kutukana na kusifu mwanzo mwisho.
Hakuna hata nafasi wameipata japo kujadili nini kifanyike (kama njia ya kuzuia ugonjwa usisambae au kuutibu) kuwa discourage "mabeberu" kuja kufanya chanjo Africa,maana ugonjwa upo kwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haki ya nani mimi ningekuwa beberu ningesitisha chanjo na madawa yote ndo tuone sasa itakuwaje.
 
Wengine wanasifu juhudi za mkuu humo humo kwamba anawajua vyema mabeberu hivyo hawezi kukubali huu upuuzi [emoji23][emoji23]...

Ule uzi una link ya video am sure 93% ya wachangiaji hawajaangalia ata video yenyewe
Tuombe sana hali iliyoko huko Marekani isifike kwetu. Ama Waafrika tuwe na kinga au kirusi kiwe kweli hakiwezani na joto. Yanayotokea huko Ulaya na Marekani yakitokea kwetu haki ya nani mkuu wetu huyu tutamkimbia...
 
Wasukuma?
tapatalk_1440871595749.jpg
 
Hii ni zaidi ya Jack Ryan..ni ya kijasusi pia, iko poa sana
thanks....acha niitafute muda huu.
niandalie list ya series zenye maudhui ya kijasusi, criminal, vita dhidi ya wamanga koko a.k.a waarabu.

jack ryan season 3 inarudi lini?
nimeota huyu jamaa atajiingiza kwenye ulimwengu wa siasa kama alivyoshauriwa na mzee mwishoni mwa season 2
 
Back
Top Bottom