Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimepitia moja baada ya nyingine nimeona anko, kuna comments nyingine zinatia hasira kabisa [emoji3]
Ni kutukana na kusifu mwanzo mwisho.
Hakuna hata nafasi wameipata japo kujadili nini kifanyike (kama njia ya kuzuia ugonjwa usisambae au kuutibu) kuwa discourage "mabeberu" kuja kufanya chanjo Africa,maana ugonjwa upo kwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine wanasifu juhudi za mkuu humo humo kwamba anawajua vyema mabeberu hivyo hawezi kukubali huu upuuzi 😂😂...

Ule uzi una link ya video am sure 93% ya wachangiaji hawajaangalia ata video yenyewe
 
IMG-20200405-WA0030.jpg
 
Back
Top Bottom