Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mi siku nikifanikiwa sitaki mwanamke mpya.
Niliyetafuta naye kuni ndiye nitakaye ota naye moto.
Najua ukiwa na mkwanja mrefu kila mwanamke anajigongesha kwa kisingizio cha kukwepa nyodo za watu masikini
Kama wewe unajijua kuwa hautachepuka ukishafanikiwa basi umshukuru Mungu kwa hilo, lakini wanaume wenzio wengi hawako hivyo na wanajiona wako sawa.
 
Back
Top Bottom