Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ostaadh in da hausi !
Mmhh mie naona kama mara nyingi huwa haupendi utani, mfano mtu anaweza akakuambia kitu ambacho unaona kabisa ni utani ila ukampea jibu short and clear ambalo linaashiria kuwa uko serious.Aisee ila mtu hadi nimshushue kanianza
Umeona eenh, ni kati ya watu ninaowakubali sana humu JF ila pia namuogopa sana.Kumbe sio mimi peke yangu, hata mimi huwa namuogopa sana Khantwe.. Yupo siriaz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we fanya vile moyo yako inataka mama, hata tusikuchoshe.[emoji16][emoji16][emoji16] haya nitajitahidi ingawa mimi naona niko sawa tu