Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wasukuma mtuwache [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG-20200405-WA0003.jpg
 
Salaam Zoĕ.
Ndivyo tulivyo, kuna waopenda utani na wasiopenda.
Ukimjua nenda naye anavyotaka
Mmhh mie naona kama mara nyingi huwa haupendi utani, mfano mtu anaweza akakuambia kitu ambacho unaona kabisa ni utani ila ukampea jibu short and clear ambalo linaashiria kuwa uko serious.

Na vyenye haunaga maneno mengi sasa
 
Back
Top Bottom