Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

D Knob anajua sana mzee, toka enzi zile za Badman yupo na yule mshikaj wa Kenya, sema kuna wimbo flan hv yupo D, Zilla na Q Racka kama sijakosea jina lake nimelisahau wimbo flan hv wa kubang aisee upo poa sana
Ninayo ile kazi alafu jana usiku nimeisikiliza inaitwa *club anthem* pia na Stopper yupo humo ndani
 
Back
Top Bottom