Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
😀😀😀😀😀
😀😀😀😀😀
Kuna mndali chizi Sana anasema Corona haiwezi kufika ileje..eti itajisumbua.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] safi sana bro, ile vitu ata Corona utaisikia kwa jirani tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alafu ata mimi nimesahau
D knob flow zake huwa ni ngumu sana
Nataka unieleze KD wapi umejifunza mapoziMapozi - b.l.u.e
D Knob anajua sana mzee, toka enzi zile za Badman yupo na yule mshikaj wa Kenya, sema kuna wimbo flan hv yupo D, Zilla na Q Racka kama sijakosea jina lake nimelisahau wimbo flan hv wa kubang aisee upo poa sanaNapenda sana majamaa ambao muziki hawakuufanya kipaumbele cha kwanza kwenye maisha yao. Jamaa yupo na mbishe zake tu fresh ila huku pia huwa anashtua kimtindo kama ile *Nishike mkono* ft Mwasiti
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] humu ndani wote vichaa sema hawa wengine wanakuwa bize sana siku hizi
Ni RahisaSahisa - Tid ft Fa
Fa [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Kwanini haiwezi kufika?Kuna mndali chizi Sana anasema Corona haiwezi kufika ileje..eti itajisumbua.
Nilicheka Jana nusu kuzimia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu zangu msinitengeMsinitenge - Prof J
Ataandamana carba[emoji23][emoji23][emoji23],madhara ya kujiweka ubro/sister zone ni makubwa sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona unavunja kanuni ya kwanza katika sheria zetu wazee? Alafu ata Carba mwenyewe akisikia hizi taarifa hawezi kufurahia [emoji16]
[emoji2][emoji2][emoji2] hapo nimekuelewa broTypn err ......
#Hangover
Hilo swali la ninge
Usiniandikie bwana 😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui nikuandikie na wewe lile neno[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀 umetisha na hiyo rmx...Nataka unieleze KD wapi umejifunza mapozi
Nakuuliza kuhusu yebo hujanijibuu..
Au Sina hadhi nananan
Basi nieleze usinifanyie mapozi
Mapozi nawe
Hii remix[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Anasema jinsi watu wa ileje wanavyojua kutengeneza Mambo ikifika itajisumbua tuKwanini haiwezi kufika?