Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Upweke umetanda miji ya India
FB_IMG_1586085703487.jpeg
 
Halafu huyo mwanaume akifanikiwa utamsikia "sasa ndiyo muda muafaka wa kutafuta wale wanawake wa type yangu ambao niliwakosa kipindi sina hela"
Hawa masikini sio watu wazuri kabisa
Kwanza Ni viburi..Mimi ndiyo maana nasemaga usimpende mwanaume kwa kumuonea huruma kisa Ni masikini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na huu umasikini wangu kweli naweza pata mtu kwa kuonewa huruma?
Kuna watu huwa wanataka wapendwe kwa huruma tu,unamtongoza mtu hajakupenda,unataka akuonee huruma eti kisa huna hela..
Matokeo yake ndiyo hayo Sasa..akipata vijihela unaanza kumjua rangi yake halisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom