Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

90770be7-0dfc-47d2-877a-5024f49ed862.jpg
 
Kimsingi unachosema ni kwamba unataka mwanaume tajiri. Fulustopu....

Ila hata matajiri nao wana mambo yao usije ukaingia kichwa kichwa eti unakwenda kula raha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Si kwamba nataka tajiri au masikini.
Nataka yoyote kwanza nimpende,SI kwa kumuonea huruma eti kwa sababu Ni maskini au kuwa na tamaa kwa sababu Ni tajiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
....ende vaisi vesa kiaina...

Akija kupata hela na wewe usirudi kujigongesha kiaina eti ooooh unajua wakati ule uliponitaka niliona kama hukuwa siriazi kivile ndo maana nikakulizia buyu...ila sasa umekuwa mature sana na unajua unachokifanya...ai emu availabo...

[emoji3591][emoji3591][emoji3591]Nimedandia treni kwa mbele ezi yujo na hata sijui mnaongelea nini [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kwenda kujigongesha wakati amepata hela?
Huo sio upendo..huo Ni udangaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wote mnatuchukia siye masikini kwa kisingizio eti tukifanikiwa tunawapuuza, dhana hiyo haina ukweli
Wanaume masikini huwa wanapenda kuonewa huruma Sana..acha mtu akupende mwenyewe Wala SI kwa kukuonea huruma.
Mwingine ukijitoa ukampenda Sana Basi anakuona rofa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom