Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23]
FB_IMG_1586082372937.jpeg
 
Wanawake wote mnatuchukia siye masikini kwa kisingizio eti tukifanikiwa tunawapuuza, dhana hiyo haina ukweli
Kuna watu huwa wanataka wapendwe kwa huruma tu,unamtongoza mtu hajakupenda,unataka akuonee huruma eti kisa huna hela..
Matokeo yake ndiyo hayo Sasa..akipata vijihela unaanza kumjua rangi yake halisi.
 
Kuna watu huwa wanataka wapendwe kwa huruma tu,unamtongoza mtu hajakupenda,unataka akuonee huruma eti kisa huna hela..
Matokeo yake ndiyo hayo Sasa..akipata vijihela unaanza kumjua rangi yake halisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
....ende vaisi vesa kiaina...

Akija kupata hela na wewe usirudi kujigongesha kiaina eti ooooh unajua wakati ule uliponitaka niliona kama hukuwa siriazi kivile ndo maana nikakulizia buyu...ila sasa umekuwa mature sana na unajua unachokifanya...ai emu availabo...

[emoji3591][emoji3591][emoji3591]Nimedandia treni kwa mbele ezi yujo na hata sijui mnaongelea nini [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Hawa masikini sio watu wazuri kabisa
Kwanza Ni viburi..Mimi ndiyo maana nasemaga usimpende mwanaume kwa kumuonea huruma kisa Ni masikini

Sent using Jamii Forums mobile app
Kimsingi unachosema ni kwamba unataka mwanaume tajiri. Fulustopu....

Ila hata matajiri nao wana mambo yao usije ukaingia kichwa kichwa eti unakwenda kula raha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Back
Top Bottom