Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee!!
Historia ya Liver imevurugika tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hawajatoa taarifa rasmi kwamba msimu unaishaje; kwa hali ilivyo ligi kwa mwaka huu imeisha sema sijui watapangaje matokeo.

Tunausubiria mwisho wa zile timu zilizokua zinajifanya hazisomei weekly au monthly tests
emoji1.png
emoji1.png
emoji1.png
.
 
Teh mie nakuonaga serious hata huku jukwaani ujue, hadi kuna muda huwa nakuogopa.

Japo comments zako zinachekesha, ila dakika mbili mbele huchelewi kumchenjia mtu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani mimi huyuhuyu?
Kumbe sio mimi peke yangu, hata mimi huwa namuogopa sana Khantwe.. Yupo siriaz
 
jack ryan season 1:
nimeidownload Ijumaa iliopita, nimeanza kuiangalia jioni ya leo.

Davet mtoto wa gheto (leo si mtoto wa geti kali)
ningendako (mnywaji serengeti lager),

heshima kwenu.
hii project imenivutia (sijaimaliza lakini imenibidi niitafute season 2)
[emoji23][emoji23]

Urojo unakupeleka pabaya wewe mzee

Iko poa sana, season 2 nayo iko poa sana, kitu kizuri kuwa ni tayali imepewa order ya kutoka tena season 3..tunaisubiri
 
Back
Top Bottom