Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
Teh mie nakuonaga serious hata huku jukwaani ujue, hadi kuna muda huwa nakuogopa.Halafu siku uje mtaani kwetu unione ninavyojifanya niko siriaz 24/7
Japo comments zako zinachekesha, ila dakika mbili mbele huchelewi kumchenjia mtu.