Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Nitakunong'oneza huyo mnoko akishaondoka. 😁Halafu ujue huwa najiuliza maana ya hili jina lako
Nitakunong'oneza huyo mnoko akishaondoka. 😁Halafu ujue huwa najiuliza maana ya hili jina lako
Sio anaogopa, hataki hata kuwaona. Umewahi kuisikia DIT ya miaka ya 90 wewe?[emoji16][emoji16] usiniambie anaogopa wasichana
Paroko mimi wewe. Siyo kama wewe, ulikuwa unaruka na kina Avijawa kila siku. 😁🏃♂️🏃♂️Tangu ujana wake tupo tuisheni pale Mtendeni hajawahi kukaa karibu na wasichana... Muache
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaa akchuale kuja nyumbani utaharibu Anko, yu noo wati?! Mai waifu hajui kama nimeoa so itakuwa soo kinoma...Kesho nitakuja nyumbani tukemee vizuri anko
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sio anaogopa, hataki hata kuwaona. Umewahi kuisikia DIT ya miaka ya 90 wewe?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mwache Yego aitwe mlugaluga
Sent using Jamii Forums mobile app
Abee...umesema...??Aaa akchuale kuja nyumbani utaharibu Anko, yu noo wati?! Mai waifu hajui kama nimeoa so itakuwa soo kinoma...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwema?Hahaaa, una balaa wewe mtu. [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pyaar kuja pande hiiNitakunong'oneza huyo mnoko akishaondoka. [emoji16]
Muulize SYB mtaa wetu wa Njinjo tulio kuwa tumepanga tulivyo haribu watoto wa kitanga na wafanyakazi wa bar ya Bulyaga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Paroko mimi wewe. Siyo kama wewe, ulikuwa unaruka na kina Avijawa kila siku. [emoji16][emoji2089][emoji2089]
Shukrani Mkuu. Ila hii Corona ni noma Mkuu wangu, ni Mungu tu anaweza kutunusuru na hiki kimbunga. Hakuna namna ya kuikwepa aisee, utanawa mikono, sijui unaambiwa usishike uso. Je hewa unayovuta utaichuja vipi kuwaondoa hao virus watakaokuwa wametambaa hewani huko tayari?Mkuu kwema?
Jitahidi kuwa hewani kama SYB ili tujue upo hai.
Endelea kupambana na corona kiupweke huko, ila ipo siku Mungu ataturudisha pamoja tukiwa salama [emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sauti uliyo itikia inatosha volyumu [emoji23][emoji23][emoji23]Abee...umesema...??
[emoji16][emoji16][emoji16] kumbe ndio zenu ankooMuulize SYB mtaa wetu wa Njinjo tulio kuwa tumepanga tulivyo haribu watoto wa kitanga na wafanyakazi wa bar ya Bulyaga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe endelea na ulimbwende wa Upanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Ugumu upo hapo.Shukrani Mkuu. Ila hii Corona ni noma Mkuu wangu, ni Mungu tu anaweza kutunusuru na hiki kimbunga. Hakuna namna ya kuikwepa aisee, utanawa mikono, sijui unaambiwa usishike uso. Je hewa unayovuta utaichuja vipi kuwaondoa hao virus watakaokuwa wametambaa hewani huko tayari?
Huo mwitikio unaweza kunitoa kwenye UGUMU huo. "Wasipaone wanoko hapa"! 🚶♂️🚶♂️🚶♂️Abee...umesema...??
Ni zamani sana Ankoo wala usijali sana juu yetu[emoji16][emoji16][emoji16] kumbe ndio zenu ankoo
Kweli eeh? Mbona unaondoka sasa rudi tuongee vizuriHuo mwitikio unaweza kunitoa kwenye UGUMU huo. "Wasipaone wanoko hapa"! [emoji2211][emoji2211][emoji2211]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Huo mwitikio unaweza kunitoa kwenye UGUMU huo. "Wasipaone wanoko hapa"! [emoji2211][emoji2211][emoji2211]
[emoji16][emoji16][emoji16]
Huondoki Leo? Daah! 😁[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app