Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Nipo bana, si unaona mwenyewe wanga wengi. 😁Kweli eeh? Mbona unaondoka sasa rudi tuongee vizuri
Nipo bana, si unaona mwenyewe wanga wengi. 😁Kweli eeh? Mbona unaondoka sasa rudi tuongee vizuri
Basi tungoje waendeNipo bana, si unaona mwenyewe wanga wengi. [emoji16]
Acha nikae pembeni nikuwache na mdogo wa rafiki yangu ila usimsaundishe ana wake ampendaye kwa dhatiHuondoki Leo? Daah! [emoji16]
Najaribu ku form equation ya haya maelezo yako mkuu. Usiwe na wasiwasi kabisa na hilo. 😁Acha nikae pembeni nikuwache na mdogo wa rafiki yangu ila usimtongoze ana wake ampendaye kwa dhati
Sent using Jamii Forums mobile app
Ai nou yu bradha [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Najaribu ku form equation ya haya maelezo yako mkuu. Usiwe na wasiwasi kabisa na hilo. [emoji16]
Halafu we jamaa nimekutana na Mdimi jamaa white wa kinyamwezi kapiga six Pugu PCM na mshikaji dairekta wa Siaradibi, tulikuwa wote kwenye tuisheni na mwalimu... pale Mtendeni sijui Mnazimmoja.Miezi michache iliyopita kanipiga roba ya mbao meno 20Najaribu ku form equation ya haya maelezo yako mkuu. Usiwe na wasiwasi kabisa na hilo. [emoji16]
Hahaa, bana eeh; ukimuona tena mwambie Yego alishakuwa mvuvi. Atamzukia amsaidie kupata kamkopo ka kuchongesha mtumbwi mmoja. 😁😁Halafu we jamaa nimekutana na Mdimi jamaa white wa kinyamwezi kapiga six Pugu PCM na mshikaji dairekta wa Siaradibi, tulikuwa wote kwenye tuisheni na mwalimu... pale Mtendeni sijui Mnazimmoja.Miezi michache iliyopita kanipiga roba ya mbao meno 20
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1545][emoji1317][emoji1545][emoji1317][emoji1317]Ugumu upo hapo.
Nimeifungia familia yangu, nimemkumbuka binti yangu pekee kitinda mimba lakini siwezi kuungana nao, nimetoka kuongea na mama yao sasa hivi, nimejisikia vibaya sana lakini natakiwa niwalinde. Mungu nipe ujasiri na afya njema niione familia yangu tena...
Naumia sana [emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ankoo mimi huyo unaniongelea au mwingine? Unanizibia rizki bwanaAcha nikae pembeni nikuwache na mdogo wa rafiki yangu ila usimsaundishe ana wake ampendaye kwa dhati
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😀😀😀 alafu wewe chizi weweKd umemuweka wapi?
Acheni kumfananisha kd na vitu vya ajabu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app