Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
[emoji23][emoji23][emoji23] dogo unazinguaHasa za khantwe[emoji23][emoji23]
Huyu dada Ni comedian wa 3 tukikutoa wewe na king
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] dogo unazinguaHasa za khantwe[emoji23][emoji23]
Huyu dada Ni comedian wa 3 tukikutoa wewe na king
Sent using Jamii Forums mobile app
😂 😂 😂 😂 hakijioni kabisa hakoo...Yeye ndo comedian Namba moja humu[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu eti mimi na chamdeko ndo comedian humu.
Kenyewe hakajioni[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hakijioni kabisa hakoo...Yeye ndo comedian Namba moja humu
Hilohilo la nne CMimi sijasoma stella nimeishia la 4c
Kwahiyo shule ndo mnakunywa soda mshibe?
Mlikuwa hamuujui uji?[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani hata karma akija hapa atanisaidia[emoji23][emoji23][emoji23] dogo unazingua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi soda yoyote ya orange hapana aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Carba was hereView attachment 1408918
Kd umemuweka wapi?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hakijioni kabisa hakoo...Yeye ndo comedian Namba moja humu
Kabisa, mie mwenyewe haijawahi kunikata kiu yaani nikinywa moja natamani niongeze tena na tena sasa na ubahili huu nikisema ninywe nyingi nitafika kweli.Sparletta Ni habari nyingine ila Mimi nimepumzika kuinywa maana nikinywa sishibi
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh kichachu ila sukari nyingi, mie napenda ice cream zake kuliko juice zake.Ukwaju hata mtu akinipa bure sichukui.
Siwezi kunywa kinywaji kichachu namna ile
Sent using Jamii Forums mobile app
Carba nikija kwako naomba soda ya kushiba.Kanichekesha sana leo huyu mtoto[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]