Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nayo siyo mbaya ila sikumbuki mara ya mwisho niliinywa lini, in short mie soda zote zilizo kampuni moja na coca huwa naziona nzuri siyo coca siyo fanta siyo sprite siyo sparletta.

Ila kwangu mimi the best ni sparletta aiseee yaani nikinywaga ile soda huwa najihisi kama niko kwenye yale matangazo wanayotangazaga hizo soda.
Ushakukua sasa mdogo angu kunywa robertson sasa
 
Habari, kama kuna mtu anayo gari center tani tatu na nusu na bado iko poa kabisaa anione nimpange mwezi wa 6 tukafanye kazi mahali ,ila inatakiwa gali imara maana kuna kilima ,kuna jamaaa alikwenda na center mwaka juzi kuanzia mwezi wa 7-10 walipiga milioni zaid ya milioni 10

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjinga wewe [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najua ankoo hapo umetoka mtupu . Mnyakyusa hawezi kuelewa kinyiha
Heheheh kelele kwa wandali..nagonga kinyaki,kindali,kinyiha na kisafwa[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi maisha ya kusoma unayajua vizuri?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiishiwa hela njaa inauma hatari..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijasoma stella nimeishia la 4c

Kwahiyo shule ndo mnakunywa soda mshibe?
Mlikuwa hamuujui uji?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom