D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
ningendako ndiye balozi wa hayo madude.....Tafuta zile za Ugomvi bila sababu yaani inaanza tu watu wanauana Tu
acha niangalie hii kwanza
ningendako ndiye balozi wa hayo madude.....Tafuta zile za Ugomvi bila sababu yaani inaanza tu watu wanauana Tu
Hahah!😂😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hayo maparachichi yanaongeza nguvu za kike?
Hivyo vyote utavipata humo asee, hii kitu akili nyingi sana kuna mtu kabisa anaitwa Professor kwaajili ya mipangonapenda action,
mipango ya ukweli.
Ushakua mtaalamu sasa 😀Nikitengeneza tena nitaweka parachichi kidogo, ndizi kidogo na maziwa mengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Chizi sana wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umesahau kwamba ni Mndali? [emoji23]
Nimecheka kifwala[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba alichemsha juice ama?
Kwema ndugu yangu. Habari ya majukumu?Kaka Mkubwa kwema ? Natumaini mu wazima wote
Hahaha nilikua sijazaliwauliwahi kutumia window 95?
View attachment 1408035
Leo sijui una nini we dogo [emoji16][emoji16][emoji16]