Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

#Kizembehivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
20200330_192504.jpeg
 
Ngoja nikuwekee iliyobaki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni nzuri hatari[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa mdogo wangu juice inatokaje vibaya[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni juice gani mnaziongelea tangu mchana?!
Ni juice hizi juice au juisiiii?
JIRANI msaada wako tasavali, maana vijana wako si wa kiume wala wa kike wote wapo busy kuongelea utamu wa juisiii...



Sent using Jamii Forums mobile app
 
jack ryan season 1:
nimeidownload Ijumaa iliopita, nimeanza kuiangalia jioni ya leo.

Davet mtoto wa gheto (leo si mtoto wa geti kali)
ningendako (mnywaji serengeti lager),

heshima kwenu.
hii project imenivutia (sijaimaliza lakini imenibidi niitafute season 2)

Hizo Movie laini Mkorea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
jack ryan season 1:
nimeidownload Ijumaa iliopita, nimeanza kuiangalia jioni ya leo.

Davet mtoto wa gheto (leo si mtoto wa geti kali)
ningendako (mnywaji serengeti lager),

heshima kwenu.
hii project imenivutia (sijaimaliza lakini imenibidi niitafute season 2)
Pamoja sana bro ila haya maelezo yako yamenivutia na mimi kuifatilia
 
Back
Top Bottom