Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi SYB utaniacha lini lakiniNdiyo unagundua leo bro?
Ameshabadilisha ID mara saba [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi SYB utaniacha lini lakiniNdiyo unagundua leo bro?
Ameshabadilisha ID mara saba [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Yes brother
Aise hivi hizi app zinatofautiana au?? Mbona mie yangu nikiview profile ya member yeyote hainiletei kama hivyo??Ila kwa jinsi Esta alivyo ngangari anaweza akawa freed leo hii hii akaanzisha ligi na akina mtanashati na timu domo leo hii hii akalimwa tena ban nyingine leo hii hii [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1409759
HiHello family
Wow, I love the sun of a beach. [emoji16][emoji16] [emoji85][emoji85]
uchawi upo jamani kuna mzee nilimkopa pesa mwezi sasa ila cjapata pesa yake kanipigia cm kunikumbushia deni lake muda c mrefu nikamdanganya nimefiwa na baba yangu ile nakata cm tu nasikia sauti dirishani ya huyu mzee.NENDA MSIBANI BABA YAKO KAFA KWELI Saivi ndo nimekaa tu hapa simu zinapigwa ila cjapokea
Komoni hii ustaadh
Na wewe unatumia?
Dada yangu mpole mwema alijichanganya akaolewa na Mpare dah....Ukoo mzima tunajuta [emoji36][emoji36][emoji36]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huku sisi ni team popo dear tena wale popo wa coronaNi nini usingizi umenigomea wakati kesho ni siku ngumu??
Naingia new posts nakuta thread pendwa ndiyo ipo on, hivi huwa hamlali humu jamani!!