Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haha wengine tumeshazoea kulala masaa 4 na siku nyingine chini ya hapo na bado katikati ya siku hatusinzii, mi sikumbuki hata mara ya mwisho kulala masaa 8 ilikuwa mwaka gani.
Jamani pole mama, mie inatokea mara chache..!!
Mwenzio nimeweka simu mbali toka satano ili niwahi kulala, nikashangaa lisaa limeisha ngoma inasoma bila bila ni stress tu, nikasema simu babe njoo tu Mimi na wewe ni wamoja.!
Na kesho lazima nisinzie akii that is unkwepekable..!!
 
FB_IMG_1586120490382.jpeg
 
Ana kanisa hapo Mwakaleli? Historia yake ikoje huyo jamaa?

Nitaisaka ile tafsiri ya Prof japo sina uhakika kama ni ya kuaminika. Usinikumbushe udwanzi wa Yego [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sipo mbali sana na kanisa lake lilipo, ni mwendo wa dakika 15-20 kwa mguu. Mtaa unaitwa Isyesye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom