Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1586143549943.jpeg
 
Bila uzi huu wengine (hasa sisi ma-introvert) tungekuwa tumeshawehuka. Na quarantine hii ya Korona mweh !!!

Unawaza nini mpaka usingizi umekugomea? Isije ikawa libaharia lisilojali ndiyo umelipatia huo moyo uliojaa amani, huruma na upendo ndiyo linaufinyanga tu linavyotaka. Sali halafu uuchape usingizi kwa amani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hahahaa.!
Nuh' Bro, kila siku nikiwa nalilia mabaharia si nitakuwa fala wa kiwango cha mwisho sasa.!
Stress tu za pesa, chapaa, mapene, shilingi, sabuni ya roho, rupia, mshiko nk, nk..!!
 
Corona Tanzania na nchi jirani zake.
1.DR Congo 154 vifo 18
2.Kenya 142 vifo 4
3.Rwanda 104
4.Uganda 52
5.Zambia 39 kifo 1
6.Tanzania 22 kifo 1
7.Msumbiji 10
8.Malawi 4
9.Burundi 3.
Tuchukue tahadhari
>Nawa mikono na sabuni mara kwa mara,
>Epuka mikusanyiko isiyo ya lazima.
 
Jamani pole mama, mie inatokea mara chache..!!
Mwenzio nimeweka simu mbali toka satano ili niwahi kulala, nikashangaa lisaa limeisha ngoma inasoma bila bila ni stress tu, nikasema simu babe njoo tu Mimi na wewe ni wamoja.!
Na kesho lazima nisinzie akii that is unkwepekable..!!
Hahahaha eti unkwepekable, kwa kweli mie smartphone yangu ndiyo bestfried wangu hata nikisema nilale yenyewe itaniamsha kwanini nalala naiacha peke yake kwahiyo najikuta naamka naipa company teh.
 
Back
Top Bottom