myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
09:23
Amina InShaAllah 🤲🤲🤲🤲🤲Tuombe sana hali iliyoko huko Marekani isifike kwetu. Ama Waafrika tuwe na kinga au kirusi kiwe kweli hakiwezani na joto. Yanayotokea huko Ulaya na Marekani yakitokea kwetu haki ya nani mkuu wetu huyu tutamkimbia...
Sijui kwanini nikikuona nakumbuka tu ile story ya robo saa.!! 😅Hiyo hapo mzee
Ahsante sana Mwl. Kashasha kwa uchambuzi wako mujarabu, turudi kwanza uwanjani kuendelea na kipindi cha pili 😀😀Ka kiuno sasa... Kembambaaaa
😀😀😀😀Sijui kwanini nikikuona nakumbuka tu ile story ya robo saa.!! 😅
😀😀😀😀 safi sanaTunapinga chanjo ya corona ila ARVs tuna zibugia usiku na mchana, utafiti walifanyia wapi? Wanasema viruses wa Ukimwi na corona wamezalishwa na mabeberu, mbona magonjwa ya mabusha, matende, ukoma, malaria,n.k. ni magonjwa ya Kiafrika, tafiti na chanjo zimefanyika hapa hapa(Dr.Mwele) na tumepona, kwanini hatukukataa?
Tibaijuka ametushauri turudi kwenye miarobaini na mironge wakati tunawasubiri mabeberu watuletee chanjo, NIMR kimyaa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mzee naimani sasa hivi unaendelea vyema kabisa?Hey Bro,
Nilpatwa na homa kali sana mwanzoni mwa weekend iloisha,
Sasa naendelea vizuri .. Covid 19 haina uhusiano na hali yangu hii.
Ule usemi wa Corona haisumbui sana watu weusi ni kweli nini? Kila siku nikifatilia hizi takwimu naona kabisa mataifa ya watu weupe yanapata tabu zaidiCOVID 19.
Nchi kumi zenye maambukizi makubwa barani Afrika
1.Afrika. Kusini 1655
2.Algeria 1350
3.Misri 1173
4.Morocco 1021
5.Cameroon 650
6.Tunisia 574
7.Burkina Faso 345
8.Ivory Coast 261
9.Nigeria 232
10.Mauritius 227
😂😂😂😂😂@ningendako sina cha kuongeza
Ha wa yuuu[emoji23][emoji23]
Ndio Carba yani muda nakupa taarifa ya kusinzia ndio huo muda naangusha ndinga, nahisi bado chai ilikuepoNatumai ulilala mapema na ulilala vizuri
Asalaam AlyeikumNdio Carba yani muda nakupa taarifa ya kusinzia ndio huo muda naangusha ndinga, nahisi bado chai ilikuepo
Habari yako lakini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenikumbusha kuna meme moja inaonesha picha kanyani kamelala kitandani kanatafakari halafu maneno yanasema, "when your alarm rings and you start thinking whether your job is more important than your sleep".tabu huja kuamka asubuhi sasa,
Imagine Leo alarm imeita nazima, inaita nazima, was in that situation nikiulizwa 'Leo huendi kazini.!' Ningejibu 'siyo kwenda tu na kuitaka sitaki'..! [emoji23]
Hizo pics most of the time huwa una share, huwa ni reality ama ni za kutengeneza?Uliuliza swali gani mpendwa
Hahaa.!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenikumbusha kuna meme moja inaonesha picha kanyani kamelala kitandani kanatafakari halafu maneno yanasema, "when your alarm rings and you start thinking whether your job is more important than your sleep".
Weuweeerr makofi kwa king akeeeeNa wewe ile ngoma yako hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahsante sana Mwl. Kashasha kwa uchambuzi wako mujarabu, turudi kwanza uwanjani kuendelea na kipindi cha pili [emoji3][emoji3]