Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

😀😀😀😀
Mimi mwenyewe nikikuona nakumbuka mengi sana wewe acha tu, alafu kuna mtu Avatar yake ina rangi kama hii yako mara nyingi huwa namkimbilia nikijua ni wewe sema nikimsogelea karibu naona siye....

Mambo yako vipi lakini?
Haha.!
Na kwanini ukimbilie watu Davey jamani.! Unitag ukimuona tena.!

Namshukuru Mungu ndugu yangu, wagumu tunadumu.!!
 
Hahaa.!!
Hakuna kipindi nakuwaga dilemma kama naipenda kazi yangu ama nalazimishwa, kama kipindi cha kuamka asubuhi jamani.!!
Yaani hilo nadhani huwa linamtokea kila mtu hasa jumapili kuamkia jumatatu, bora hata alhamisi kuamkia ijumaa na hata ofisini kwetu ijumaa ndiyo huwa tunawahi ila jumatatu kila mtu anachelewa.
 
Yaani hilo nadhani huwa linamtokea kila mtu hasa jumapili kuamkia jumatatu, bora hata alhamisi kuamkia ijumaa na hata ofisini kwetu ijumaa ndiyo huwa tunawahi ila jumatatu kila mtu anachelewa.
Na hivii Jana nimekesha, Leo nimechelewa zangu halafu nikakuta kumbe late comers wapo kibao, nikashangilia kimoyo moyo.! Ila honestly I do hate Mondays.!
 
Back
Top Bottom