Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
Hahah! Sio lile ila hali yangu imehusishwa na yule aliyemtukana mkokaWacha wee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usinambie nawewe ulitukanwa lile tusi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mondays are crapNa hivii Jana nimekesha, Leo nimechelewa zangu halafu nikakuta kumbe late comers wapo kibao, nikashangilia kimoyo moyo.! Ila honestly I do hate Mondays.!
Hehe aisee kumbe tunaojikutaga hip hop tuko wengiNdiyo ndiyo.!
Wazee wa ngumu nyeusi.!! Basii mwenzio najikutaga mgumu hatari.!
Mmh!Hehe aisee kumbe tunaojikutaga hip hop tuko wengi
Lol Nani Huyo nije nimuonyeshe kazi[emoji1732]Hahah! Sio lile ila hali yangu imehusishwa na yule aliyemtukana mkoka
Hahhaa.Bado nawaza wewe Carleen ni mtu au Jini 😀
Ana sura ya ukweli, figure hatari, kiuno kimejinyonga kama kitanzi na macho ya duara kama roundabout ya Msimbazi.....
Ankoo watu wamekuwa wengi mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah! Sijui Don nani nani tu ila achana nae
Don NaniHahah! Sijui Don nani nani tu ila achana nae
Teh, nini tena D.Mmh!
Huyo uliyemtaja ni mtu wangu wa nguvu hawezi kufanya hivyo, huyu ni don francis sijui. Avatar yake ina Nyerere
Hahah! Safi sana.....Hahhaa.
Hakuna pahala napenda kama 'ni mrembo flani mwenyewe urefu wa wastani'..!
Naskia mchizi ni mjeda sahii.!
Duh...Ngoja nikachungulieHuyo hliyemtaja ni mtu wangu wa nguvu hawezi kufanya hivyo, huyu ni don francis sijui. Avatar yake ina Nyerere
Naona naona 😀
Nakuona wa ngumu 😀Teh, nini tena D.