Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Baki nyumbani hakuna kuzurula utapata Corona huko kuna msongamano wa watu 😂😂
Yamenikuta yale ya Mkoka
Baki nyumbani hakuna kuzurula utapata Corona huko kuna msongamano wa watu 😂😂
Wewe bro wewe😀😀😀
Aah! Ndio unasimamia wale vibarua?Nakula ngoma nzito shambani[emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Leo nipo shamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhahaaaa..!
Bradha I miss you halafu.!!Wewe bro wewe😀😀😀
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Wewe bro wewe😀😀😀
Upo vizuri sana 👏👏👏Hahahhahaaaa..!
Ila honestly I miss the song, ngoja nikaitafute.!
'Nimegombana na mama'angu, kwa ajili yako:..!!
You are missed too.Bradha I miss you halafu.!!
Kama unayo nitumie kwakweli,Upo vizuri sana 👏👏👏
Ukiikosa niambie nikutumie
Huwa nasahau kuja hapa mpaka nikuwe tagged ama nikutane na thread uso kwa uso usiku wa manane, ila enwei nitawakujia tu, ninge do adje sasa kama nawamiss.!!You are missed too.
Mimi nipo sana hapa, usiponiona huko duniani uje kuchukua habari zangu hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana Ankoo.Anko bwana ule uzi wako wa jana umenifanya nimekula za uso huko mbele ya watu wenye misimamo na hoja zao
Nipo mwenyewe kaziniAah! Ndio unasimamia wale vibarua?
[emoji125][emoji125]na mtoa taarifa zako Davet, sijui...You are missed too.
Mimi nipo sana hapa, usiponiona huko duniani uje kuchukua habari zangu hapa.
Wacha wee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baki nyumbani hakuna kuzurula utapata Corona huko kuna msongamano wa watu [emoji23][emoji23]
Yamenikuta yale ya Mkoka
Bado nawaza wewe Carleen ni mtu au Jini 😀Kama unayo nitumie kwakweli,
Nimetoka kuitazama tu yuchubu, nikakutana na hisia za moyoni ya Songa nikafuraahi.!
😂😂😂😂 asante sana Anko, siku nyingine nitakua nasikiliza maagizo yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana Ankoo.
Mimi nilikwambia soma tu wanacho andika, zaidi ya hapo ilikuwa ni kusifia mamlaka ili uwe upande salama
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀