Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Bila uzi huu wengine (hasa sisi ma-introvert) tungekuwa tumeshawehuka. Na quarantine hii ya Korona mweh !!!Ni nini usingizi umenigomea wakati kesho ni siku ngumu??
Naingia new posts nakuta thread pendwa ndiyo ipo on, hivi huwa hamlali humu jamani!!
Unawaza nini mpaka usingizi umekugomea? Isije ikawa libaharia lisilojali ndiyo umelipatia huo moyo uliojaa amani, huruma na upendo ndiyo linaufinyanga tu linavyotaka. Sali halafu uuchape usingizi kwa amani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]