moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Anko tulia bwana unataka Yego aghairi?
wiki tatu za maangamizi zimefika tokea ugonjwa huu uanze kutembelea nchini kwetu.Corona.
Tanzania na nchi jirani.
1. DR Congo 161 vifo 18
2.Kenya 158 vifo 6
3.Rwanda 105
4.Uganda 54
5.Zambia 39 kifo 1
6.Tanzania 24 kifo 1
7.Msimbiji 10
8.Malawi 5
9.Burundi 3.
Tuchape kazi na tuchukue tahadhari.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaTumfuate.
Hivi na mimi naruhusiwa kufuatwa na akina Anko zangu?
Ameeee...?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yego huyu mwoga mwoga hata usihangaike nae, kesha kukimbia hivyo [emoji1][emoji1]Anko tulia bwana unataka Yego aghairi?
Hahaha atarudi najuaYego huyu mwoga mwoga hata usihangaike nae, kesha kukimbia hivyo [emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app