Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
😀😀Saint Anne. Nimekuta mahali wanabishana eti huyu ni wewe. Izi iti turu? Naona juisi ya maparachichi imekukubali sana...[emoji1547][emoji1547][emoji1547]
View attachment 1411540
Ni nyimbo flani inaitwa utawezanaUmuofia....
Umeniacha kwenye mataa....
Unataka kitambi sioAiseee
Huku nataka niongeze japo tumbo kidogo .maana nimekonda,Tena kibaya Zaidi nakonda Sana tumboni na mikono
Sent using Jamii Forums mobile app
😀 Kwamba haijakuvutia?nimeamua niiweke pembeni....
nimeitafuta condor
ndefu sana....😀 Kwamba haijakuvutia?