Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kila nikijaribu kukuonea huruma nafsi inasita. Wakunyooshe tu, malipo ni hapo hapo nyumbani.
Mnapitia barabara iliyo pembeni ya kituo cha mafuta? Mbona ni nzuri tu kwa gari? Labda kama wanakukomaza

Sent using Jamii Forums mobile app
Gari itoke wapi ankoo??[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza tulitokea nzovwe..

Yaani unionee huruma kwa shamba dogo hivyo??
Nataka kwenda ileje kuvuna karanga..kule sasa ndo Kuna kilimo

Huruma ya huo mwendo tu, nakumbuka kwa mbele kuna korongo, usipo livuka maana yake uliache kushoto upitilize. Kama ni huko pole lakini kama ni karibu na shule ya msingi basi, pambana [emoji1][emoji1]

Yaani kwenye korongo halafu mbele tena
Unapanda kimlima
IMG_20200406_094902_6.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom