Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Nikitafuta unanipa sh ngapi?Tafuta Paka kwenye picha View attachment 1411509
mzee Reddington anadai binti keen ni mwanae, lakini huko mbele kuna jamaa mwengine tena atakuja na kusema kuwa yule binti ni wa kwake, na huyu mzee Reddington tunayemfaham hapa mwanzo ni fake, ila kuna Reddington original kabsakuna uhusiano gani uliopo kati ya huyu mzee na binti profiler (keen)
Mungu wanguSaint Anne. Nimekuta mahali wanabishana eti huyu ni wewe. Izi iti turu? Naona juisi ya maparachichi imekukubali sana...[emoji1547][emoji1547][emoji1547]
View attachment 1411540
Condor ya motonimeamua niiweke pembeni....
nimeitafuta condor
Nitaitafuta hiyoCondor ya moto
kwa nini haijaendelea season 2.....Condor ya moto
Sawa
Yupo hapo tena mkubwa tu, ukipata muda mzuri wa kutosha fanya kumtafuta taratibuSijamuona bado
Hata sijui mkuu,nilisikia mwaka jana lakn hawakufanya hvyokwa nini haijaendelea season 2.....
Nitakutumia kwa JF Pesa sio?
Fanya hvyo bro..Nitaitafuta hiyo
Sawa broFanya hvyo bro..
Unadhani Yegomasika ataitendea kazi hiyo kauli?Jizazi [emoji87][emoji87][emoji87]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#unikome
#sitakidada
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akili zenu mnazijua wenyewe
Nimemkosa ngoja nimngoje anne anaweza mpataYupo hapo tena mkubwa tu, ukipata muda mzuri wa kutosha fanya kumtafuta taratibu
WachaaaaNitakutumia kwa JF Pesa sio?
Ukimpata nitakufundisha kutengeneza Milkshake nyingine..