Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Nimeshaanza kusinzia hata hivyo...nikilala mapema nanenepa na mm sitaki kuwa bongewere muhuni wa ARUSHA hukuwa na tabia ya kuchelewa kulala....
imekuwaje nyakati hizi, au unakunywa bangi ya pombe vijiweni
Ili nzige wakija kula mazao yako usishangae [emoji16][emoji16][emoji16]
tandika kitanda chako usije ukatafunwa na TanduNimeshaanza kusinzia hata hivyo...nikilala mapema nanenepa na mm sitaki kuwa bonge
Nipo ndani ya net...imebaki kurusha simu kwa chini kisha nilaletandika kitanda chako usije ukatafunwa na Tandu
Dah πππIli nzige wakija kula mazao yako usishangae [emoji16][emoji16][emoji16]
hongera kwa kumiliki net, sisi wengine tunajifunika shuka jeupe pekee kama maiti wa kiislamuNipo ndani ya net...imebaki kurusha simu kwa chini kisha nilale
Hata zile net za msaada za serikali yako huna? Huo ni uzembehongera kwa kumiliki net, sisi wengine tunajifunika shuka jeupe pekee kama maiti wa kiislamu
ongezea na ufala juu......Hata zile net za msaada za serikali yako huna? Huo ni uzembe
leo yupo kwa mke wa kitanga......myoyambendi umelala?
Pole sanaongezea na ufala juu......
Nipo njiani kuja kupiga mbonji kwako leo. Hiyo neti itatutosha?Zimeni data mlale....hapa abaki SYB tu
That's my area of expertise. Unahitaji msaada? Wapi? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji16][emoji16][emoji16] assist