Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Safi D za kwako hofu ya Corona imepungua au imeongezekaMpendwa umeshindaje?
Safi D za kwako hofu ya Corona imepungua au imeongezekaMpendwa umeshindaje?
Za kwangu nzuri pia, hofu ya Corona imepungua mana watu wameshazoea lakini tahadhari ndio zimezidi kuchukuliwa kwa umakini zaidiSafi D za kwako hofu ya Corona imepungua au imeongezeka
Mungu atuepushe na huu ugonjwa utoweke maana binafsi nishachoka kunawa mikonoZa kwangu nzuri pia, hofu ya Corona imepungua mana watu wameshazoea lakini tahadhari ndio zimezidi kuchukuliwa kwa umakini zaidi
Amin 🤲....Mungu atuepushe na huu ugonjwa utoweke maana binafsi nishachoka kunawa mikono
😂😂😂Legendary sio
We acha tu hii dunia ina mambo[emoji23][emoji23][emoji23]Legendary sio