Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Davet rafiki yangu hapo nimetoka na nyimbo mbili tu walaqhi',
sikiliza wimbo na rafiki wa kweli.!

Unani inspire nikuwe mgumu tena wakati mwenzio nilishaanza kurojeka.!!
😂😂😂😂

Bila kurojeka sasa hivi mambo hayaendi ujue, nakushauri ulainike lakini usisahau misingi na miiko, ata mimi hizo Uno nazijua sana tu 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…