Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kabisaaa huwa najichimbia humu ukiona nimetoka ujue nimeenda chokoza team domo kule celebrity wana mapovu ya bure bure wale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha..
Halafu una limbwata lake hivii flani hivi amazingi, laweza mteka hadi mtaalamu mwenyewe.!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anakuwa customer care
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Admini naomba kuleft hii topic
[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Basi utatumia ata hizo sasa ila usizidishe sana
Ndio hio. Kuna aina nyingi za uchezaji nchi mbali mbali nimeganda USA pagumuNdio hyo ya Kwanza auntie?View attachment 1412416
Mchana wa pipi ukwajuuuuuu,tutamu hutu tupipi
Aisee kumbe, kwa hiyo inabandikwa au inachimbiwa hapo ukutani?Kuna hook ya nguvu hapo nyuma.
Mama na mwanao mnaweza kubembea hapo bila shida
Ngoja na mimi nikaone ugumu wake[emoji6]Ndio hio. Kuna aina nyingi za uchezaji nchi mbali mbali nimeganda USA pagumu
Hahahanakuwa customer care
wewe mzee jangala hiyo stori imeendelea ukurasa wa ngapi?
Welokamu back !!!Nimerudi bro don
Shikamoo The DonWelokamu back !!!
mbona amekupa heshima ya bro?Welokamu back !!!
Naona watu waliamka injini ziko on. Naamka nakuta fupi haifai, fupi haikuni, fupi haienei, fupi haibani, ukikohoa inatoka...Vipi kama ni fupi lakini kifutu? Huu uzi bana dah !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]humu ndani mna fujo....eti Asubuhi ya pipi kifua
depal alilala na stress usiku wa janaNaona watu waliamka injini ziko on. Naamka nakuta fupi haifai, fupi haikuni, fupi haienei, fupi haibani, ukikohoa inatoka...Vipi kama ni fupi lakini kifutu? Huu uzi bana dah !!!
Tena wanaotubezaga huwa wanajiona kuwa wameyapatia sana maisha aisee. Wanakujaga huku kwa mbwembwe na dharau tosha wakidhani ni group la wajinga tumekusanyana huku...Hii thread acha tu najuta kuchelewa kuifahamu, watu wanaojifanya wana akili wanatubeza mimi huwa nawaangaliaa nasema hiiii