D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
huenda mkokaa ndiye aliyepigwa majungu asubuhi ya leo.Alisema eti kakitanda kake kadogo na unene wangu huu nitakwenda kumbana. Nilimtuma bro Mkokaa sijui kama alienda ama la!
- ana mkono mdogo kama paka nyau.
- mwembamba kama ujiti wa kuti la mnazi
- mwenzake akikohowa anatoka mafua yeye