Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tena wanaotubezaga huwa wanajiona kuwa wameyapatia sana maisha aisee. Wanakujaga huku kwa mbwembwe na dharau tosha wakidhani ni group la wajinga tumekusanyana huku...
[emoji16][emoji16] wacha waendelee na mijadala yenye stress huko. Siku watakuja kujua huku ni zaidi ya chuo kikuu watakuwa wamechelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…