D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
huenda mkokaa ndiye aliyepigwa majungu asubuhi ya leo.Alisema eti kakitanda kake kadogo na unene wangu huu nitakwenda kumbana. Nilimtuma bro Mkokaa sijui kama alienda ama la!
Welcome backOops! We ran into some problems.
You have been banned for the following reason: Mwezi jana nilianzisha uzi wa namna hii mods fasta wakaufuta shuaini zao. Your ban will be lifted on Apr 8, 2020 at 12:00 AM.
Mimi simo [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]huenda mkokaa ndiye aliyepigwa majungu asubuhi ya leo.
- ana mkono mdogo kama paka nyau.
- mwembamba kama ujiti wa kuti la mnazi
- mwenzake akikohowa anatoka mafua yeye
ShukranWelcome back
Hua natumia mtego wa gundi zinauzwa kubwa 2000 ndogo 1000 wananasa hatari hawatoki mpaka uwatoe na kuutupa mtegoNaomba mnisaidie mbinu ya kuua panya nimevamiwa
😀😀 Chemka hot springsJirani nitajie location (preferred kwenye swimming pool ambako unahisi sijafikapo 🏃
Mkokaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuwa mbobevu sana katika eneo hili aisee. Ajabu hata kuungua hakuna. Utoto rahaaaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Ule kama daftariHua natumia mtego wa gundi zinauzwa kubwa 2000 ndogo 1000 wananasa hatari hawatoki mpaka uwatoe na kuutupa mtego
tafuta mkate, au tungule then changanya na sumu.Naomba mnisaidie mbinu ya kuua panya nimevamiwa
Sikwenda broAlisema eti kakitanda kake kadogo na unene wangu huu nitakwenda kumbana. Nilimtuma bro Mkokaa sijui kama alienda ama la!
Ndio huo ukitegesha mahali wanapopita kwa wingi unaweza nasa sita kwa wakati mmojaUle kama daftari