Nani kasema hivyohuenda mkokaa ndiye aliyepigwa majungu asubuhi ya leo.
- ana mkono mdogo kama paka nyau.
- mwembamba kama ujiti wa kuti la mnazi
- mwenzake akikohowa anatoka mafua yeye
Umewasiliana na wizara husika lakini? maana waziri wake ana gubu kweli na wanyama wakeNaomba mnisaidie mbinu ya kuua panya nimevamiwa
Mboga kabisaNdio huo ukitegesha mahali wanapopita kwa wingi unaweza nasa sita kwa wakati mmoja
depal dharmendra...Nani kasema hivyo
Ile ya kule Moshi?😀😀 Chemka hot springs
Huyu mzungu Giant mbona anaonekana muhendsome jamani 🙊🏃Wametoka nje hao moja kwa moja Hostel UDSM siku 14
View attachment 1412561
Leo wewe hauko sawa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Huyu mzungu Giant mbona anaonekana muhendsome jamani [emoji87][emoji125]
Kwa sababu zipi? Me natoa ya moyoni tuLeo wewe hauko sawa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]