Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
Teh, natamani nikaipost hii status ila naogopa kuna watu watanitolea povu.
Teh, natamani nikaipost hii status ila naogopa kuna watu watanitolea povu.
Ndio bro au anne alimpataHahah! Kwamba bado hujampata tu?
[emoji16][emoji16] na wewe mbona haujajiweka ??yegomasika
bradha
andjul
hawa watu wanapaswa waanzishe vugu vugu lao (wanafanana sana)
Uliwekwa Karantini ulivyotoka Dubei wewe si bure.Mambo ya quarantine bila kupenda. Hellow poti
Kaweke afu hizo povu niletee nikafulieTeh, natamani nikaipost hii status ila naogopa kuna watu watanitolea povu.
Aisee kumbe, kwa hiyo inabandikwa au inachimbiwa hapo ukutani?
😂🤣😂 nisingempata kabisaHawezi kumpata yule ana mambo mengi
View attachment 1412611
Karantini giza tupu[emoji23][emoji23]Uliwekwa Karantini ulivyotoka Dubei wewe si bure.
Tumemiss kicheni pati zako
Yaani hapo kama mmoja anao wote wanapata.Wametoka nje hao moja kwa moja Hostel UDSM siku 14
View attachment 1412561
😂😂😂😂😂 eneo ulilokuwa unachezesha macho sio hilo kabisa?😂🤣😂 nisingempata kabisa
Juu kule ndio nlkuwa naangalia😂😂😂😂😂 eneo ulilokuwa unachezesha macho sio hilo kabisa?
Hatari sana. Njia nzuri ni kuzuia tu ndege zisiingie.Yaani hapo kama mmoja anao wote wanapata.