Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mpendwa mimi kila nikifanya Mazoezi najazia juu sielewi shida nini Saint Anne tupe siri ya mafanikio yako ya kiuno nyigu
Daah kujibu hili swali kunahitaji akili kubwa jiraniUnaweza kufunga jirani
Hahaha asante, carba niliwamiss
Hahahaa aiseeeUboho....Nimesoma mara mbili mbili nikidhani labda ni taipo. BAKITA bana [emoji16][emoji16][emoji16]
Siri ya mafanikio Ni kula viporo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpendwa mimi kila nikifanya Mazoezi najazia juu sielewi shida nini Saint Anne tupe siri ya mafanikio yako ya kiuno nyigu
Shukrani jiraniPoleni sana jirani mpendwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lipoje? Ila nina mazoea ya simu zaidi kuliko computerKuna moja hivi la kwenye computer ushawai cheza
Mahindi yaleee ndani au nje ya asali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Upo fastaAlooh! Nalipendaga tu draft.....niko Hard levelπ
Unafanya tu makadirio sio mpaka uzidishe iwe taaaamu, au ukiona vipi huweki kabisaAsali ninayo
[emoji134][emoji134] Hii mbona Kama itanishinda..yaani sukari juu ya sukari?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka yangu anatafuta mchumba serious kama upo tayari ππππ