Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naanza kesho nitakupa mrejesho.
WeuweeeNjoo pm mrembo ukaishi Dubai [emoji7][emoji7][emoji7]
Picha zako zote ulizoweka kule ninazoShepu gani mpendwa ile picha nilipata huko fecebook sio mimi
Sio mimi mpendwa 😀😀😀
Kama unayo ile,Mungu akupe Nini?Sio mimi mpendwa [emoji3][emoji3][emoji3]
Mpendwa zisikudanganye zile picha kwenye uzi wa Mshana ukiniona live unaweza kukimbia kama sio kuzimia kabisa.Kama unayo ile,Mungu akupe Nini?
Mazoez tuachie sisi ambao tumepigwa pasi[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi asali hiyo nyie[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekwama la mbele yake. Robot kama linatusoma akili hasa likianza kuingia king[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo nimekwama
HahahahaMpendwa zisikudanganye zile picha kwenye uzi wa Mshana ukiniona live unaweza kukimbia kama sio kuzimia kabisa.
😂😂😊
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji4]
Hahah!Hiyo 8 umenisingizia[emoji23][emoji23][emoji23]
Daz baba..
Davet naomba hiyo ngoma nisikilize
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wajanja sana, nikaweka off mandatory rule wakanikomeshaa😂😂Nimekwama la mbele yake. Robot kama linatusoma akili hasa likianza kuingia king[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chukua Avocado + Chocolate + Milk + Honey
Weuweee makofi kwa king akeeee[emoji7][emoji7][emoji7][emoji3526][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah!
Ila asali mmmh[emoji848]Chukua Avocado + Chocolate + Milk + Honey
Fanya makadirio yako alafu fanya kuvichanganya kwenye Brenda kisha uvisage kwa pamoja
Hii ni nzuri zaidi ukiinywa ikiwa ya baridaa