moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hahaha[emoji23][emoji23]
aah bahati mbaya sipendi maziwa freshChukua Avocado + Chocolate + Milk + Honey
Fanya makadirio yako alafu fanya kuvichanganya kwenye Brenda kisha uvisage kwa pamoja
Hii ni nzuri zaidi ukiinywa ikiwa ya baridaa
Yule braza aliyekuahidi kukukweesha pipa kwenda kwa Trump baada ya Korona kupita amefikia wapi?
Meno ya davet yaleeeeeHiyo ngoma inaitwa Safari 😀
Chocolate unaiyeyusha na nini Anne? Mbona ukiiweka tu kwenye Brenda haina shida inasagika
View attachment 1412922
Yale ya Soya unayajua?aah bahati mbaya sipendi maziwa fresh
😂😂😂😂Huo hapo. Mzinga na nyuki wake wadogo 😁
Miche ya nini hii Ostaadh?