Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ocean Quahog ndiye mnyama aliyethibitishwa kisayansi kuwa aliishi kwa muda mrefu zaidi duniani. Alizaliwa mwaka 1499 na kufa mwaka 2006 akiwa na umri wa miaka 507. Inaaminika kuwa aliuwawa na wanasayansi waliovunja gamba lake bila kujua kuwa bado yupo hai wakati wanataka kumchunguza.

Chanzo: Usa Today
 
Asali ni anti-inflammatory na ina faida nyingi za kiafya ila wanasayansi wanasisitiza sana kuwa ili kuzipata faida hizi ni lazima asali hiyo iwe ya asili na isichujwe wala kuongezewa kitu cho chote (Raw and Unfiltered). Asali pia ina sukari nyingi na wanasayansi wanaonya kuwa isitumiwe kwa wingi kwa sababu sukari ikizidi mwilini siyo nzuri (rejea tafiti mbalimbali za Numby). Kijiko kimoja cha chai kina Calories 60 kwa natural and unfiltered honey na wanashauri sana usitumie zaidi ya vijiko viwili kwa wakati mmoja....

20200408_122723.jpg
 
Siafu humiliki watumwa ambao huwafanyisha kazi mbalimbali, hii hutokea hasa pale wanapovamia koloni lingine na kushinda vita huchukua mayai wanayoyakuta, watoto wakitoka hugeuzwa kuwa watumwa na kufanyishwa kazi mbalimbali.
 
Back
Top Bottom