Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1586272627132.jpeg
 
Florida, Marekani: Michael Moylan aliamka asubuhi huku akisumbuliwa na maumivu makali ya kichwa, alipokwenda hospitali vipimo vilionesha kuwa kuna risasi ipo ndani kichwa chake. Baadae ilikuja kufahamika kuwa alipigwa risasi na mke wake wakati akiwa amelala, tukio lilitokea mwaka 2007.Chanzo: Abc
 
Hamster' ni jamii ya panya ambao sifa yao kuu ni uwezo wao wa kutengeneza stoo ya chakula, hubeba chakula kwa kuweka katika mifuko ya kutunzia chakula ndani ya mwili wake kisha huenda kutapika katika stoo yake. Wanapatikana sana maeneo yenye ukame hivyo hufanya hivyo ili kujiandaa pindi akikosa chakula awe na akiba. Una uwezo wa kumfuga hana madhara kwa binadamu.
 
Jim Saunders kutoka Texas mwaka 2011 alitimiza miaka 30 kwa kuishi na risasi katika ubongo wake, anasema alipigwa risasi na aliyekuwa mke wake kipindi hicho yeye akiwa amelala. Madaktari walisema kuwa ni hatari kwa uhai wake kuitoa hivyo tangu kipindi hicho aliendelea na maisha yake kama kawaida.

Chanzo: Dailmail
 
Back
Top Bottom