Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
ππππππππππππWeuweee makofi kwa king akeeee[emoji7][emoji7][emoji7][emoji3526][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππππππππWeuweee makofi kwa king akeeee[emoji7][emoji7][emoji7][emoji3526][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni mliotoka kazini
Poleni mnaoendelea na kazi...
Walezi wa familia poleni...
Ndio maana nimekuambia changanya kwa makadirio yako wewe mwenyewe alafu unaweza kuachana na hiyo ice cream ukatumia Chocolate tu ya kawaidaIla asali mmmh[emoji848]
Nitaweka kidogo..sipendi asali.
Nikipata muda kesho nitaenda kuisaka ice cream
Sent using Jamii Forums mobile app
InshaallahWasafiri mfike salama salimini...
Chocolate ya kawaida naiyeyusha kwanza???Ndio maana nimekuambia changanya kwa makadirio yako wewe mwenyewe alafu unaweza kuachana na hiyo ice cream ukatumia Chocolate tu ya kawaida
Huo hapo. Mzinga na nyuki wake wadogo π
Hiyo ngoma inaitwa Safari πChocolate ya kawaida naiyeyusha kwanza???
Kweli asali nitaweka kidogo maana siipendi..asali Ni ya watoto
Watoto wanapenda asali
Watoto wanapenda sukari
Hawapendi ukali
Maisha kufika...
Na Tena kwa msoto mkali
I love you nananana
Niki2
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule braza aliyekuahidi kukukweesha pipa kwenda kwa Trump baada ya Korona kupita amefikia wapi?Weuweee
Mimi huyoooo nakwea pipa[emoji7][emoji7][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Karibu Sana,pm iko wazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Naweza kupata angalau moja? Nioshe macho na shombe shombe wa Dubai [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Watu wa Conspiracy wanamtuhumu kuwa lab yake kule Wuhan ambayo ameifunga mwishoni mwa mwaka jana inawezekana ndiyo muundaji wa Kirusi hiki. Kama anasema hivi basi anajua anachokisema. Kwa Afrika tuombe Mungu tu kisifike kwa makali haya kiliyonayo huko kwa wenzetu. Itakuwa kasheshe !!!
Muombe mpendwaNaweza kupata angalau moja? Nioshe macho na shombe shombe wa Dubai [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hupendi asali wakati unatuhumiwa kuwa una mzinga kabisa tena umejaa asali tamu natural unfiltered [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2099][emoji2099]Ila asali mmmh[emoji848]
Nitaweka kidogo..sipendi asali.
Nikipata muda kesho nitaenda kuisaka ice cream
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpendwa naomba picha. Au mruhusu Mtakatifu anipe angalau moja tu nioshe macho. Sina nia mbaya [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Muombe mpendwa
Hahahahaa halafu inauma kufungwaNi wajanja sana, nikaweka off mandatory rule wakanikomeshaaππ
Muuaji: Chagua moja uwe mnene kama hivo au nikuue
Mimi: Niue tu