Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mchina ni mchina tu, hata akipaka mkorogo hawezi kuwa muhindi
FB_IMG_1586372126800.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Hal Robson-Kanu vs Ubelgiji

Wales mara yake ya kwanza kufuzu kucheza michuano ya Ulaya ilikuwa 2016. Kwa taifa hilo dogo, kitendo cha kufuzu tu ulikuwa ushindi tayari. Lakini, walipofanikiwa kufika robo fainali yalikuwa mafanikio makubwa zaidi huku kwenye mechi zake ikipambana na vigogo kama Ubelgiji. Kilichotokea kwenye michuano hiyo, hakika kiwango cha Wales kilishangza wengi. Kwenye mechi dhidi ya Ubelgiji, mchezaji aliyekuwa shujaa hakuwa Gareth Bale bali ni mtu asiyefahamika kabisa, Hal Robson-Kanu. Bao lake alilofunga liliwekwa kwenye orodha ya kushindania tuzo ya Bao Bora la Fifa na kuifanya Wales kushinda 3-1.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Naona ankoo analeta mambo za Carlos puyol
 
Back
Top Bottom