Umefanyaje?Mgomba wa ndizi
Jiapietupu
My mama land!MAMA TANZANIA AMEAMKA TENA ANA WAUWA WALIOMFIKISHA HAPA MPAKA KUITWA SHAMBA LA BIBI AFANALEK WALAHI!
HahahahaMida ya bia hii sasa
Kwa kweliMy mama land!
Binadamu ni kiumbe tata sana na huwezi kumpangia la kufanya. As long as watu hawavunji sheria wala kubughudhi mtu, waache wafanye yao. Otherwise utashindwa kuishi...mods naombeni muufunge uzi huu maana hauna la maana sana ila sivi page ya 560 jana tuu! zipo thread za maana lakin coment hata mia hamna? watanzania kweli mambo ya ujinga ndio tunayoyapenda ila ya maana hata kuyasoma ni mbinde!! so sad!
SalamaZa mchana
Mke na mume.BIBI NA BWANA
Ya mbuzi au!MAZIWA